Changia
Changia kuwezesha ujenzi wa Tanzania mpya, yenye uchumi unaokuwa na kutengeneza ajira na kuleta furaha na heshima kwa watu wote.
Changia kusaidia watu wanaojitolea nchi nzima kwa kuwapatia huduma wanazohitaji.
Kulingana na sheria zinazoongoza vyama vya siasa, ni raia waishio Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee ndiyo wanaoweza kuchangia.
-
Uhamisho wa benki
-
Tafadhali tumia maelezo yafuatayo ya benki kutoa mchango wako kupitia uhamisho wa Benki.
Jina la Benji: NMB Bank
Nambari ya akaunti: 22610026136
Jina la akaunti: ACT Wazalendo Uchaguzi
Tawi: Msasani
SWIFT Code: NMIBTZTZ
Tafadhali fuata maagizo yafuatayo ya kutoa mchango kwa kutumia huduma ya m-pesa.
1. Piga *150*00#
2. Chagua 1 (Kutuma Pesa)
3. Ingiz 0744959112
4. Ingiza kiasi unachotaka kutuma
5. Ingiza neno lako la siri.
6. Chagua 1 kuthibitisha.