August 31, 2020 10:20 AM

Ilani ya ACT Wazalendo

Leo tarehe 31 Agosti 2020 tumezindua Ilani ya mabadiliko ya uhakika. Mabadiliko yanayoleta Ajira nyingi na bora na Maisha yenye Raha na Furaha. Unaweza kupata Ilani yetu hapa. Pia unaweza kupata hapa muhtasari wa Ilani.

 

Showing 1 reaction

Ukurusa huu unatumia kuki. Kusoma zaidi, angalia Vigezo na Masharti yetuOK