Aug 05
10:00 AM
10:00 AM
Diamond Jubilee Hall
Dar es Salaam, Dar es Salam
Tanzania, United Republic of
Dar es Salaam, Dar es Salam
Tanzania, United Republic of
Mkutano wa Kitaifa 2020
Mnamo 5/8/2020, wajumbe wa ACT Wazalendo watakutana kumteua wagombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.
Ilani za chama kwa ajili ya uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar zitawasilishwa kwa wajumbe.