Taarifa

TUMESHAMPENDEKEZA MRITHI WA MAALIM -Zitto

(Sehemu ya Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndugu cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe kwenye Khitma ya Kumuombea Maalim Seif Iliyofanyika Dar es salaam).

"Tayari tumeshapendekeza jina kwa Rais wa...

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAIMU MWENYEKITI TAIFA WA ACT WAZALENDO...

Kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Ndugu Maalim Seif Sharif Hamad kilichotokea tarehe 17 Februari 2021, Ndugu Dorothy Semu ambaye kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti Bara...

MAELEKEZO YA OFISI YA KATIBU MKUU KUHUSU JANGA LA VIRUSI...

Ndugu Viongozi na Wanachama wa ACT Wazalendo, awali ya yote napenda kuwapa pole nyingi kwa msiba mzito uliotukuta kufuatia kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na...

Hotuba ya Ndg. Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT...

Ndugu Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar;

Ndugu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

Ndugu Viongozi wa Serikali na Vyama vya...

MAALIM SEIF, A MAN OF HIS WORDS Zitto Kabwe, Party...

I am not often at loss for words. But today I am finding it very difficult to put words together to describe Maalim Seif Sharif Hamad, the First Vice President...

Taarifa ya Msiba wa Mwenyekiti wa Taifa ACT Wazalendo Maalim...

Leo mnamo saa 6:13 mchana, nimejulishwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwamba Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar amefariki dunia. Taarifa rasmi ya...

JESHI LA POLISI LIMUACHIE ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA, LIACHE KUJITUMIKISHA...

 

TAREHE 16/2/2021

JANA Tarehe 15/2/2021 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam lilitoa taarifa ya kumkamata Askofu mwamakula kwa madai ya tuhuma ya kosa la kuhamasisha...

SALAAM ZA MWENYEKITI WA KITUO CHA DEMOKRASIA (TCD) NDG. ZITTO...

Mara baada ya Mfumo wa Vyama vingi kuanzishwa hapa Tanzania kulikuwa na juhudi kubwa za Mashirika ya Kimataifa kuimarisha Vyama vya Siasa ili kujenga Mfumo Madhubuti wa Demokrasia ya Vyama...

Siku 100 za Kuwaweka Wazanzibari pamoja:

Na: Zitto Kabwe, 

Kongozi wa Chama cha ACT Wazalendo.

Tarehe 7 Disemba 2020 Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi alimwapisha Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo...

A CALL FOR 'UAMSHO' RELEASE

THE CITIZENS NEWS PAPER


Dodoma. Chonga lawmaker Salum Mohamed Shafi (ACT-Wazalendo) yesterday pleaded with President John Magufuli to pardon Islamic revival clerics who have been detained for eight years.

The...

Ukurusa huu unatumia kuki. Kusoma zaidi, angalia Vigezo na Masharti yetuOK