JESHI LA POLISI LIMUACHIE ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA, LIACHE KUJITUMIKISHA...
TAREHE 16/2/2021
JANA Tarehe 15/2/2021 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam lilitoa taarifa ya kumkamata Askofu mwamakula kwa madai ya tuhuma ya kosa la kuhamasisha...