ACT-WAZALENDO YAZINDUA ILANI YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR
This morning, ACT Wazalendo Campaign Manager, Emmanuel Mvula was arrested on spurious grounds. He was arrested at the Oysterbay Police Station in Dar-es-Salaam where he was following up on the...
ACT Wazalendo inaamini kuwa Sekta binafsi ndio Injini ya kuendesha Uchumi wetu na kuzalisha Ajira. Hivi sasa 91% ya Ajira zote rasmi Nchini Tanzania zinatokana na Sekta Binafsi. Wafanyabiashara wanaowekeza...
Tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, tayari kumejitokeza viashiria vya kuvuruga na kuhujumu uchaguzi kunakofanywa na vyombo vyenye dhamana ya kusimamia uchaguzi na amani ya Taifa kwa...
The ACT Wazalendo election manifesto for the 2020 General Elections is built around three key pillars:1. Building a democratic nation that respects fundamental freedoms and a state that respects the...
Leo tarehe 31 Agosti 2020 tumezindua Ilani ya mabadiliko ya uhakika. Mabadiliko yanayoleta Ajira nyingi na bora na Maisha yenye Raha na Furaha. Unaweza kupata Ilani yetu hapa. Pia unaweza...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe leo Agosti 18, 2020 amewatambulisha rasmiviongozi wa timu ya kampeni ya kitaifa ya chama kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.
Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndg. Zitto Kabwe kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa ACT Wazalendo, Agosti 5, 2020 katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Jana tarehe 21 Juni 2020, Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida kwenye ukumbi wa Lamada uliopo Ilala Jijini Dar es salaam chini ya...
Mapema leo, Kiongozi wa Chama ndg. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine 8 akiwemo Mbunge mstaafu wa Kilwa Kusini ndg. Seleman Bungara, Katibu wa Oganaizesheni na Wanachama wa ACT ndg....
Ukurusa huu unatumia kuki. Kusoma zaidi, angalia Vigezo na Masharti yetuOK