Rais Magufuli, UMETUFUNZA. Zitto Kabwe
Kwa Heri John Magufuli, Buriani Tingatinga
Zitto Kabwe
26 Machi, 2021.
Imenichukua karibu wiki nzima kuandika, japo kidogo, kukuaga Rais Magufuli. Unajua kwanini ninapata ugumu kuandika japo napenda sana kuandika tanzia...