Taarifa

Summary of ACT Wazalendo Manifesto

The ACT Wazalendo election manifesto for the 2020 General Elections is built around three key pillars:

1. Building a democratic nation that respects fundamental freedoms and a state that respects the...

Ilani ya ACT Wazalendo

Leo tarehe 31 Agosti 2020 tumezindua Ilani ya mabadiliko ya uhakika. Mabadiliko yanayoleta Ajira nyingi na bora na Maisha yenye Raha na Furaha. Unaweza kupata Ilani yetu hapa. Pia unaweza...

TAARIFA KWA UMMA

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe leo Agosti 18, 2020 amewatambulisha rasmi
viongozi wa timu ya kampeni ya kitaifa ya chama kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.

Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndg. Zitto Kabwe kwenye Mkutano...

Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndg. Zitto Kabwe kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa ACT Wazalendo, Agosti 5, 2020 katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Zitto Kabwe

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA ACT WAZALENDO

Jana tarehe 21 Juni 2020, Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida kwenye ukumbi wa Lamada uliopo Ilala Jijini Dar es salaam chini ya...

Kamati Kuu

UKAMATWAJI WA KIONGOZI WA CHAMA NDG. ZITTO KABWE NI UKIUKAJI...

Mapema leo, Kiongozi wa Chama ndg. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine 8 akiwemo Mbunge mstaafu wa Kilwa Kusini ndg. Seleman Bungara, Katibu wa Oganaizesheni na Wanachama wa ACT ndg....

Zitto Kabwe

Pongezi kwa Ndg. Lazarus Chakwera na Muungano wa Tonse kwa...

Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa furaha taarifa za ushindi mkubwa alioupata Ndg. Lazarus Chakwera katika kinyang’anyiro cha kiti cha Urais wa Malawi.

Jumanne ya wiki hii, Wananchi wa Malawi...

Lazarus Chakwera

RAIS MAGUFULI ANAPASWA KUTUTHIBITISHIA UWAZI USIO NA SHAKA

Chama cha ACT Wazalendo kimemsikiliza Rais Magufuli jana akizungumza juu ya janga la COVID-19 ambapo alieleza kuwa kiwango cha maambukizi ya ugonjwa huo kimepungua nchini mwetu. Hata hivyo, hatutakaa na...

Covid-19

Ukurusa huu unatumia kuki. Kusoma zaidi, angalia Vigezo na Masharti yetuOK